Advertisement
Matangazo ya Ajira
Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Manispaa hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kuomba nafasi (08) za kazi baada ya kupokea kibali...
Nafasi za Mkataba Jiji la Tanga 09-01-2026
Hili hapa tangazo la Nafasi za Mkataba Jiji la Tanga.
KUHUSU AJIRA ZA UHAMIAJI 09-01-2026
Kufuatia changamoto ya kimfumo iliyojitokeza kwa baadhi ya waombaji wa nafasi za ajira za Uhamiaji ngazi ya Shahada, Idara inapenda kuwajulisha kwamba changamoto hiyo tayari imetatuliwa. Hivyo...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Kilindi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi sita (06) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi tatu (03) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi sita (6) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi (10) katika halmashauri hii baada ya kupata kibali...
Hili hapa tangazo lanafasi za kazi kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) 03-01-2026 Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Download PDF hapa.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi saba (7) katika Halmashauri hii baada ya...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Handeni anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi ishirini na saba (27) za kazi katika Halmashauri hii...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi tatu (03) katika Halmashauri hii baada...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Ludewa anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi nane (8) katika Halmashauri hii baada ya kupata...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) 30-12-2025 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Download PDF hapa.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (5) katika Halmashauri hii baada ya kupata...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi 136 mbalimbali kutoka Taasisi za Umma 29-12-2025 kama IAA, TAA, COSTECH, NECTA, TIE, TLSB, NACTVET kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Pakua...