KUHUSU AJIRA ZA UHAMIAJI

KUHUSU AJIRA ZA UHAMIAJI 09-01-2026

Kufuatia changamoto ya kimfumo iliyojitokeza kwa baadhi ya waombaji wa nafasi za ajira za Uhamiaji ngazi ya Shahada, Idara inapenda kuwajulisha kwamba changamoto hiyo tayari imetatuliwa. Hivyo, waombaji wanashauriwa kuendelea kutuma maombi yao kupitia mfumo. Aidha, Idara inaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
KUHUSU AJIRA ZA UHAMIAJI
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom