Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Kigamboni

Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Kigamboni Uchaguzi Mdogo INEC

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Kata ya Mzimuni wa mwaka 2026 na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025; pamoja na Tangazo la nafasi za kazi za muda za watendaji wa vituo vya kupigia kura kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Mzimuni; lililotolewa tarehe 11 Mei, 2026; Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kinondoni anawatangazia waombaji ambao majina yao yapo hapa chini, kufika kwenye usaili siku ya Jumatatu, tarehe 25/05/2026 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Turiani kuanzia saa moja nusu (1:30) asubuhi.
Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Kigamboni
 

Attachments

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom