Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi EATV LTD kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo kujaza ajira mpya hizi zilizotangazwa.
Je, una ujuzi wa kutengeneza maudhui ya kidijitali?
EATV LTD inatafuta Digital Content Creator wa kujiunga na timu yao.
Tuma maombi yako kwa barua pepe: [email protected] ukiambatanisha CV yako.
Mwisho wa kutuma maombi: 27 Januari 2026.