Mfumo wa TaESA, Mtu binafsi mwenye sifa au utaalamu anayesaka fursa ya ajira au mafunzo kwa vitendo (internship); hii inajumuisha pia wale walioajiriwa lakini wanaotaka kubadilisha ajira. Tanzania Jobs Gateway inawawezesha waombaji/wataalamu kujisajili na kuomba ajira na fursa za mafunzo kwa vitendo, kupata huduma za ushauri wa ajira na mwelekeo wa ufundi, mafunzo ya utafutaji kazi na ujuzi wa kuajirika, kufanya vipimo vya uwezo (aptitude tests), pamoja na upangaji wa ajira na mafunzo kwa vitendo.
Ingia kwenye Mfumo wa TaESA.
jobs.kazi.go.tz
Ingia kwenye Mfumo wa TaESA.