Magereza Ajira

Magereza Ajira ajira.magereza.go.tz

Ajira za Jeshi la Magereza Tanzania (Magereza Recruitment) ni nafasi za kazi zinazotangazwa na Serikali kupitia Jeshi la Magereza kwa lengo la kuajiri vijana wa Kitanzania wenye sifa mbalimbali kama vile kidato cha nne, stashahada (diploma) au shahada (degree). Kazi hizi hujumuisha maafisa wa magereza, askari, wataalamu wa afya, TEHAMA, ufundi na fani nyingine kulingana na mahitaji ya kila mwaka. Waombaji hutakiwa kutuma maombi yao kupitia mfumo rasmi wa ajira mtandaoni wa Magereza (TPSRMS), na baada ya hapo huchujwa, kuitwa usaili na hatimaye kupewa mafunzo kabla ya kuanza kazi.

Ili kuomba au kufuatilia nafasi mpya za ajira za Jeshi la Magereza, tembelea mfumo rasmi wa Magereza kupitia link hii:
https://ajira.magereza.go.tz/

Au angalia matangazo rasmi ya ajira kupitia tovuti ya Jeshi la Magereza:
https://www.prisons.go.tz/

Kumbuka kufuatilia mara kwa mara kwa sababu nafasi hutangazwa kwa muda tofauti kulingana na mahitaji ya serikali.
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom