Tangazo la Nafasi za Kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga anatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tisa (09) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao.
Download PDF hapa.
Download PDF hapa.