Hili ni Tangazo la kazi CONSOLATA IKONDA HOSPITAL iliyopo NJOMBE wilaya ya MAKETE. Hospital inahitaji hao wafanyakazi. Kuna rafiki yangu anafanya kazi hapo kanitumia kwa bahati mbaya mimi sijasomea mambo ya Afya nikaona nikutumie ili uwatumie na wengine wenye sifa hizo wakajaribu bahati yao.