“Matokeo” nchini Tanzania mara nyingi humaanisha matokeo ya mitihani ya kitaifa yanayosimamiwa na National Examinations Council of Tanzania, kama vile Darasa la Saba (PSLE), Kidato cha Pili (FTNA), Kidato cha Nne (CSEE) na Kidato cha Sita (ACSEE). Matokeo haya hutangazwa rasmi baada ya usahihishaji kukamilika, na yanaweza kuangaliwa kwa kutumia jina la shule au namba ya mtihani kupitia tovuti ya NECTA au matangazo yao rasmi. Haya matokeo husaidia wanafunzi kujua ufaulu wao na hatua inayofuata katika elimu yao, kama kujiunga na kidato cha kwanza, kidato cha tatu au vyuo.
Ili kuangalia matokeo yote ya NECTA mara tu yanapotangazwa, tumia link hii rasmi:
www.necta.go.tz
Ili kuangalia matokeo yote ya NECTA mara tu yanapotangazwa, tumia link hii rasmi: