Tatizo la wazazi wengi Tanzania si kusomesha watoto.
Tatizo ni kusomesha watoto kozi ambazo dunia ilishazichoka halafu wanategemea miujiza itokee baada ya graduation.
Leo hii dunia ya afya imebadilika sana. Hospitali kubwa duniani hazitafuti tena watu wa “general knowledge” pekee. Zinatafuta specialists.
Ndiyo maana kila siku Akili tunapiga kelele kuhusu health and allied science courses. Hizi ndiyo kozi ambazo miaka michache ijayo zitakuwa na thamani kubwa sana duniani.
Kozi kama:
…hizi ndizo kozi ambazo hospitali nyingi duniani zinaanza kuzihitaji kwa nguvu sana.
Wakati wengine wanagombania Medicine pekee, dunia yenyewe tayari imegawanyika kwenye specialists.
Hospitali haiwezi kufanya kazi bila:
mtaalamu wa moyo, mtaalamu wa mionzi, mtaalamu wa figo, mtaalamu wa usingizi wa operation, mtaalamu wa emergency, mtaalamu wa speech therapy, nk.
Na kitu kizuri zaidi?
Nyingi ya hizi kozi Tanzania bado hazijajaa watu. Nyingine bado hazipo kabisa. Hii ina maana mwanafunzi anayewahi mapema ana nafasi kubwa sana mbele ya safari.
Miaka 10 ijayo kutakuwa na wahitimu wengi wa kozi za kawaida kuliko nafasi za kazi. Lakini specialists wa health technology na allied sciences watakuwa wachache sana.
Hapo ndipo akili ya mzazi inapotakiwa kufanya kazi.
Kupitia Akili, mwanafunzi anaweza kusoma kozi hizi nchini India kwa takribani milioni 8 tu kwa mwaka inayojumuisha:
Wakati wengine wanasubiri mtoto akose chuo kwanza ndipo waanze kutafuta option, wazazi wenye maono wanaanza mapema.

- Cardiovascular Technology
- Radiology and Imaging Technology
- Optometry
- Anaesthesia Technology
- Dialysis Technology
- Emergency Care Technology
- Operation Theatre Technology
- Audiology and Speech-Language Pathology
- Physiotherapy
- Occupational Therapy
- Medical Lab Technology
- Neurosciences
…hizi ndizo kozi ambazo hospitali nyingi duniani zinaanza kuzihitaji kwa nguvu sana.
Wakati wengine wanagombania Medicine pekee, dunia yenyewe tayari imegawanyika kwenye specialists.
Hospitali haiwezi kufanya kazi bila:
mtaalamu wa moyo, mtaalamu wa mionzi, mtaalamu wa figo, mtaalamu wa usingizi wa operation, mtaalamu wa emergency, mtaalamu wa speech therapy, nk.
Na kitu kizuri zaidi?
Nyingi ya hizi kozi Tanzania bado hazijajaa watu. Nyingine bado hazipo kabisa. Hii ina maana mwanafunzi anayewahi mapema ana nafasi kubwa sana mbele ya safari.
Miaka 10 ijayo kutakuwa na wahitimu wengi wa kozi za kawaida kuliko nafasi za kazi. Lakini specialists wa health technology na allied sciences watakuwa wachache sana.
Hapo ndipo akili ya mzazi inapotakiwa kufanya kazi.
Kupitia Akili, mwanafunzi anaweza kusoma kozi hizi nchini India kwa takribani milioni 8 tu kwa mwaka inayojumuisha:
- Ada
- Malazi
- Chakula